Mauaji

Mungu ametuonya kuhusu Kuua. Imeandikwa, Kumbukumbu la torati 5:17 "Usiue".

Hasira yaweza kuwa kama Uuaji. Imeandikwa, Mathayo 5:21-22 "Mmesikia watu wakale walivyoambiwa usiue na mtu akiua itampasa hukumu.. Bali mimi nawaambieni kila amwoneaye ndugu yake hasira itampasa hukumu na mtu akimfyolea ndugu yake itampasa baraza na mtu akimwapiza itampasa jehanamu ya moto."