Mfuasi

Kuwa mfuasi wa Yesukuna hitaji uwamuzi na matendo. imeandikwa Mathayo 4:19-20 "Akawaambia nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu. mara waka ziacha nyavu zao wakamfuata."

Kuwa mfuasi wa Yesu kunahita kujikana. Imeandikwa Mathayo 16:24 "akati huo Yesu aliwaambia wanafunzi wake, mtu ye yote akitaka kunifuata na ajikane mwenyewe ajituike msalaba wake, anifuate."

Kuamua kumfuate Yesu kuna maana kuzitii sheria zake. Imeandikwa 1Yohana 2:4 "Yeye asemaye nimemjuwa wala hazishiki amri zake ni mwogo wala kweli haiko ndani yake."

Kama hatumfuati Yesu twamfuata shetani. Imeandikwa Mathayo 12:30 "Mtu asiye pamoja nami yu kinyime changu na mtu asiye kusanya pamoja nami hutapanya."