Miujiza

Miujiza ya tukumbusha ya kuwa hakuna kitu kisicho wezekana. Imeandikwa, Kutoka 14:21-22 "Musa akanyosha mkono wake juu ya bahari Bwana akaifanya bahari irudi nyuma kwa upepo wa nguvu utokao mashariki usiku kucha akaifanya bahari kuwa nchi kavu maji ya kagawanyika, wana waisraeli wakaenda ndani kati ya bahari katika nchi kavu, nayo maji yalikuwa ukuta kwao mkono wa kuume na mkono wa kushoto."

Miijiza ya onyesha nguvu za Yesu na utukufu wake. Imeandikwa, Yohana 2:11 "Mwanzo huo waishara Yesu aliufanya huko kana ya Galilaya akaudhihirisha utukufu wake nao wanafunzi wake wakawamini."

Miujiza haitoi kuwa na imani. Imeandikwa, Yohana 20:29-31 "Yesu akamwambia wewe kwa kuwa umeniona, umesadiki waheri wale wasioona, wakasadiki. Kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake zisizoandikwa katika kitabu hiki. Lakini hizi zimeandikwa ili mpate kuamini ya kwamba Yesu ndiye Kristo Mwana wa Mungu; na kuamini mwe na uzima kwa jina lake."
Miujiza ya tudhibitishia huduma ya kanisa ya hapo awali. Imeandkwa, Matendo ya mitume 5:16 "Nayo makutano ya watu wamijim iliyoko kandokando ya Yerusalemu yakakusanyika wakileta wagonjwa na walioudhiwa na pepo wachafu nao watu wakaponywa."

Htaingawaje miujiza ni ishara ja Mungu, kuna hatari kwani Shetani hufanya miujiza yake pia. Imeandikwa, Ufunuo 16:14 "Hizo ndizo roho za mashetani zifanyazo ishara zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu mwenyezi."