Mwanga

Nuru ya onyesha uhusiano wetu na Kristo yesu. Imeandikwa, Mathayo 5:15-16 "Wala watu hawaiashi taa na kuiweka chini ya pishi bali juu ya kiango nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani vivyo hivyo nuru yenu iangaze mbele ya watu wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze baba yenu aliye mbinguni."

Nuru yaweza kuwa mfano mwema katika maisha ya wengine. Imeandikwa Marko 4:21 "Akawaambia waonaje? taa huja ilikuwekwa chini ya pishi au mvunguni? si kuwekwa juu ya kiango?."

Yesu niye nuru. Imeandikwa, Yohana 1:4-5 "Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. Nayo nuru ya ng'aa gizani wala giza haikuiweza."