Mungu huweza kujua nia zetu Hakuna asicho kijua. Imeandikwa, Yeremia 17 :9-10 "Moyo huwa mdanganyifu kulio vutu vyote unaugonjwa wa kufisha nani awezaye kuujua? Mimi Bwana na uchunguza moyo navijaribu viuno hata kumpa kila mtu kiasi cha matunda ya matendo yake."

Twahitaji kuwa na nia njema katika maombi yetu. Imeandikwa, Yakobo 4:3 "Hata mwaomba, wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya ilimvitumie kwa tamaa zenu."