Sharti

Kristo amejipa sharti juu yetu. Imeandikwa Warumi 5:8 "Bali mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu sisi, kwa kuwa Yesu alikufa kwa ajili yetu tulipokuwa tungali wenye dhambi."

Mungu kujipa sharti nimwanzo wetu kumwamini imeandikwa Zaburi 37:5 "Umkabidhi BWANA njia yako, pia umtumaini naye atafanya."

Mungu amejipa sharti kutokuwa kigeugeu Imeandikwa Yoshua 24:15 "Nanyi kama mkiona nivibaya kumtumikia Bwana, changueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu walitumikia ng'ambo ya mto au kwamba ni miungu ya wao waamori ambao mnakaa katika nchi yao lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana."