Uhodari

Lazima msingi wa uhodari utoke kwake Yesu, imeandikwa katika Kumbukumbu la torati 31:6 "Iweni hodari na moyo wa ushujaa, msiogope wala msiwehofu; kwa maana BWANA Mungu wako, yeye ndiye anayekwenda pamoja nawe hatakupungukia wala kukuacha."