Ukimaya

Wakati mwingine nivema kutosema lolote. Imeandikwa, Ayubu 2:13 "Kisha wakaketi chini pamoja naye muda wa siku saba mchana na usiku wala hakuna mtu mmoja aliyenena naye neon lo lote kwa maana waliona yakuwa mashaka yake aliyo nayo ni makuu mno."

Kwa kuwa kimya twaweza kuonyesha heshima kwa Mungu. Imeandikwa, Zaburi 46:10 "Acheni, mjue ya kuwa mimi ni Mungu nitakuzwa katika mataifa nitakuzwa katika nchi."

Kunyenyekea kwa hitaji kimia. Imeandikwa, Habakuki 2:20 "Lakini Bwana yumo ndani ya hekalu lake takatifu, dunia yote inyamaze kimya mbele zake."