Home / Masomo ya Biblia / Usaidizi

Usaidizi

Twaweza kumtegemea Mungu atusaidie wakati wa faraja imeandikwa Zaburi 46:1 " Mungu kwetu ni kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso."

Kusaidiana sisis kwa sisi ni jambo la muhimu katika maisha ya ukristo Imeandikwa Wagalatia 6:2 " Msaidiane mizigo na kuitimiza hiyo sheria ya kristo."

Mungu atakusikia unapoomba msaada kwake imeandikwa Zaburi 22:24 "Maan ahakulidharau teso la mteswa, wala hakushukizwa nalo wala hakumfisha uso wake. Bali alipomlilia akamsikia "