Home / Masomo ya Biblia / Utunzaji wa Mazingara

Utunzaji wa Mazingara

Hapo mwanzo mungu alimpa binadamu mamlaka ya kutunz ulimwengu huu ulikuwa sawa bila kosa imeandikwa Mwanzo 2:15 "Bwana mungu akamtwa huyo mtu akamweka katika bustani ya edeni ailime na kuitunza."

Mungu anahitaji sisi tuwe waminifu katika maisha yetu na vitu vyetu imeadkikwa 1Wakorintho 4:2, "Hapo tena inayohitajiwa katika mawakili, ndiyo mtu aonekane kuwa mwaminifu."

Mungu ametuonya wao wanao iharibu dunia atawaharibu pia imeandikwa Ufunuo 11:18, "Na mataifa walikasirika hasira yako nayo ikaja na wakati ukaja wa kuhukumiwa waliokufa na wakuwapa dhawabu yao watumwa wako manabii na watakatifu na hao walichao jina lako wadogo kwa wakubwa na wa kuharibu hao waiharibuo nchi."