Choyo

Kujipenda kuna haribu mtu mwenyewe. Imeandikwa. Marko 8:36:37. "Kwa kuwa itafaidi mtu nini kupata ulimwengu wote akipata hasara ya nafsi yake? ama mtu atoe nini badala ya nafsi yake?."

Kujipenda kukokatika mioyo ya watu na hapo ndipo penye taabu hutokea. Imeandikwa, Yakobo 4:3 "Hata mwaomba wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya ilimvitumie kwa tamaa zenu."

Kuna dawa ya kujipenda. Imeandikwa. Wagalatia 2:20, "Nime sulubiwa pamoja na Kristo lakini ni hai wala si mimi tena bali Kristo yu hai ndani yangu na uhai nilio nao sasa katika mwili niano katika imani ya mwana wa Mungu maana ikiwa haki hupatika kwa njia ya sheria basi Kristo alikufa bure."