Dini

Dini iliyo ya kweli hutoka katika roho ya kweli. Imeandikwa, Isaya 29:13 "Bwana akanena kwa kuwa watu hawa hunikaribia na kuniheshimu kwa vinywa vyao bali ioyo yao imefarakana nami na kicho chao walicho nacho kwangu ni maagizo ya wanadamu waliyofundishwa."

Dini yakweli ni mfuata Yesu, wal si elimu ya wanadamu. Imeandikwa, Wakolosai 2:8 "Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo ya matupu kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu kwa jili ya mafundisho ya awali ya ulimwengu wala si kwanjisi ya Kristo."

Dini ya kweli ina matunda. Imeandikwa, Mathayo 21:43 "Kwa sabu hiyo nawaambia, ufalme wa Munug utaondolewa kwenu nao watapewa taifa lingine lenye kuza matunda yake."

Dini iliyo ya kweli ni kuwasaidia wengine na kuwa wakweli kwake Yesu Kristo. Imeandikwa, Yakobo 1:27 "Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao na kujilinda na kujilinda na dunia pasipo mawaa."