Fedheha

Atakapokuja Bwana atatuonea haya ikiwa sisi tulimwonea haya. Imeandikwa, Luka 9:26 "Kwa sababu kila atakayeionea mimi na maneno yangu mwana wa adamu atamwonea haya mtu huyo atakapokuja katika utukufu wake na wababa na malaika watakatifu."

Tusiionee haya injili ya Mungu kwa kuwa hapo ndipo penye chemchemi ya nguvu. Imeandikwa, Warumi 1:16 "Kwa maana siionei haya injili kwa sababu ni uwezo wa Mungu uuletao wakovu kwa kila aaminiye kwa myahudi kwanza na kwa myunani pia."