Hukumu

Sote tuta hukumuwa na Mungu. Imeandikwa, Ufunuo 20:12 "Nikawaona wafu wakubwa kwa wadogo, wamesimama mbele ya hicho kiti cha enzi na vitabu vikafunguliwa na kitabu kingine kikafunguliwa ambacho ni cha enzi na hao wafu wakahukumiwa katika mambo hayo yaliyoandikwa katika vile vitabu sawa sawa na matendo yao."

Watu watahukumiwa kwa matendo yao. Imeandikwa, Mathayo 16:27 "Kwa sababu mwana wa adamu atakuja katika utukufu wa baba yake pamoja na malaika zake ndipo atakapomlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake."

Kila mtu atahukumiwa na kanuni ya sheria za Mungu. Imeandikwa, Yakobo 2:10 -12 "Maana mtu awaye yote ila akajikwa katika neno moja amekosa juu ya yote kwa maana yeye aliye sama usizini pia alisema usiue. basi ijapokuwa hukizini lakini umeua umekuwa mvunja shria semeni ninyi na kusema kamawatu wakaohukumiwa kwa sheria ya uhuru."

Hukumu ya Mungu itakuwa ya haki. Imeandikwa, Matendo ya mitume 17:31 "Kwa maana ameweka siku atakayowahukumu walimwengu kwa haki kwa yule mtu aliyemchagua naya amewapa watu wote udhabiti wa mambo haya kwa kumfufua katika wafu."

Hakuna atakaye epuka hukumu. Imeandikwa, 2Wakorintho 5:10 "Kwa maana imedhihirishwa mbele bya kiti cha hukumu cha Kristo ili kila mtu apokee ijara ya mambo aliyotenda kwa mwili kadiri alivyotenda kwamba ni mema aumabaya."

Hakuna jabo lolote litakalo fishwa katika kiti cha hukumu. Ieandikwa, Mhubiri 12:14 "Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi pamoja na kila neno la siri likiwa jema au likiwa baya."

Je! Danieli alionyewa hukumu itawaje? Imeandikwa, Danieli 7:9-10 "Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa na mmoja aliye mzee wa siku ameketi mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji na nywele za kichwa chake kama sufu safi kiti chake cha enzi kilikuwa miale ya moto na gurudumu zake moto uwakao, Mto kama wa moto ukatoka ukapita mbele zake maelfu elfu wakamtumikia na elfu kumi mara elfu kumi wakasimama mbele zake hukumu ikawekwa na vitabu vikafunuliwa

Yesu ndiye wakili wetu katika hukumu. Imeandikwa, 1Yohana 2:1 "Watoto wangu wadogo na waandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Nakama mtu akitenda dhambi tunaye mwokozi kwa Baba Yesu Kristo mwenye haki."

Imeandikwa Ufunuo 3:5 "Yeye ashindaye atavikwa hiyo mavazi meupe wala sitalifuta kamwe jina lake katika kitabu cha uzima nami nitalikiri jina lake mbele za Baba yangu na malaika zake."