Jeuri

Twaweza kufanya watu wengine wawe wajeuri. Imeandikwa, Mithali 16:29 "Mtu mkali humshawishi mwenzake humwongozaa katika njia isiyo njema."

Wasiowaaminifu huwa na ujeuri. Imeandikwa, Mithali 13:2 "Mtu atakula mema kwa matunda ya kinywa chake.. Bali nafsi ya mtu haini itakula jeuri."

Usishague njia za ujeuri. Imeandikwa, Mithali 3:31 "usimsuhudu mtu mwenye jeuri wala usiichague mmoja wapo ya njia zake."

Wenye jeuri watapata jeuri. Imeandikwa, Mathayo 26:52 "Ndipo Yesu akamwambia rudisha upanga wako mahali pake maan awaote waushikao upanga wataangamia kwa upanga."