Home / Masomo ya Biblia / Kupiga Bao

Kupiga Bao

Mungu ameonya usomaji wa bao. Imeandikwa, Kumbukumbu la torati 18:9-13 "Utakapokwisha kuingia katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako usijifunze kutenda mfano wa machukizo ya mataifa yale asionekane mtu yeyote ampitishaye mwanawake au binti yake kati ya moto wala asionekane mtu atazamaye bao wala mtu atazamaye nyakati mbaya wala mwenye kubashiri wala msihiri."

Mungu ndiye anaye jua yatakayo tokea sio wafu. Imeandikwa, Isaya 8:19 "Na wakatiwatakapokuambia tafuta habari kwa watu wenye pepo na kwa wachawi walio kama ndege na kunong'ona je! haiwapasi watu kutafuta habari kwa Mungu wao? je! waenda kwa watu waliokufa kwa ajili ya watu walio hai?".