Home / Masomo ya Biblia / Mabishano

Mabishano

Kusimami maoni yangu huleta mabishano. imeandikwa, Midhali 13:10 "Kiburi huleta mashindano tu; bali hekima hukaa nao wanaoshauriana."

Mazingumzo yasiyo na mwelekeo na kuongea mambo yasiyo ya maana huleta mashindano. Imeandikwa, Titu 3:9 " Laki maswali ya upuzi ujiepushe nayo na nasaba na magomvi na mashindano ya sheria kwa kuwa hayana faida tena hayana maana."

Tamaa mbaya huleta mabishamo. Imeandikwa. Yakobo 4:1 "Vita vyatoka wapi, na mapigano yaliyoko ndani yenu yatoka wapi? si humu katika tamaa zenu zifanyazo vita kati ya viungo vyenu."