Home / Masomo ya Biblia / Maendeleo

Maendeleo

Kuwa na maendeleo katika maisha ya kiroho ni kumtengemea Mungu. Imeandikwa Wafilipi 1:6 "Nami niliaminilo ndilo hili yakwamba yeye aliye anzakazi njema mioyoni mwenu ataimaliza hata siku ya ya Yesu Kristo."

Kukuwa katiaka maisha ya kiroho nikutokushindwa. Imeandikwa, Wafilipi 3:13-14 "Ndugu sijidhani nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika ila natenda neno moja tu nikiyasahau yaliyo nyuma nikiyachuchumia ya liyo mbele. Nakaza mwendo niifikilie mede ya dhawabu ya mwito mkuu wa Mungu katika Yesu Kristo."