Home / Masomo ya Biblia / Maumbile ya nje

Maumbile ya nje

Maubile ya nje huwapumbaza watu. Imeandikwa, 1Samweli 16:7 "Lakini Bwana akamwambia Samweli usimtazame uso wake wala urefu wakimo chake kwa maana mimi nimemkataa Bwana haangalii kama binadamu aangaliavyo maana binadamu huitazama sura ya nje, bali Bwana huitazama moyo."

Vitu tuavyo fanya havimdanganyi Mungu. Imeandikwa, Luka 16:15 " Akawaambia ninyi ndinyi mnaojidai haki mbele ya wanadamu lakini Mungu awajua mioyo yenu kwa kuwa lililotukuka kwa wanadamu huwa chukizo mbele za Mungu."