Home / Masomo ya Biblia / Mpatanishi

Mpatanishi

Yesu amekuwa mpatanishi wetu na Mungu. Imeandikwa, 1Timotheo 2:5-6 "Kwa sababu Mungu ni mmoja na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, mwanadamu kristo Yesu ambaye alijitoa mwenyewe kuwa ukombozi kwa ajili ya wote utakaoshuhudiwa kwa majira yake."

Yesu anatuwakilisha mbele za Mungu baba. Imeandikwa, Waebrania 7:25 "Naye kwa sababu hii awezakuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye maana yu hai sikuzote ili awaombee."