Msingi

Ni nini kinacho leta msingi imara katika maisha? imeandikwa Luka 6:49 "Lakini yule aliyesikia wala hakutenda, mfano wake ni mtu aliye jenga nyumba juu ya ardhini pasipokuwa na msingi mto ukaishukia kwa nguvu, ikaanguka mara, na maangamizi yake ile nyumba yakawa makubwa."

Yesu awe msingi wetu. Imeandikwa 1Wakorintho 3:11, "maana msingi mwingine hakuna mtu awezaye kuuweka, isipokuwa ni ule ulioskwisha kuwekwa, yaani Yesu kristo."