Umoja

Umoja sharti uwe uonyesho ya kuwa tu wakristo. Imeandikwa Wafilipi 2:1-2 "Basi ikiwako faraja yo yote kati ya Kristo yakiwako matulizo yo yote ya mapenzi ukiwapo ushirika wo wote wa Roho ikiwapo huruma yo yote ya rehema ijalizeni furaha yangu ili mwe na nia moja wenye mapenzi mamoja wenye roho moja mkinia mamoja."

Yesu aliomba tuweze kuwa kitu kimmoja. Imeandikwa, Yohana 17:11 "Wala mimi simotena ulimwenguni lakini hawa wamo ulimwenguni nami naja kwako. Baba mtakatifu kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa iliwawe na umoja kama sisi tulivyo."