Unafiki

Unafiki wetu haufiswi kwake Mungu, imeandikwa, Luka 16:15 "Akawaambia ninyi ndinyi manaojidai haki mbela ya wanadamu lakini Mungu awajua mioyo yenu kwa kuwa liliotukuka kwa wanadamu huwa chukizo mbele za Mungu."

Unafiki unamwenendo usio mwema. Imeandikwa, Mathayo 6:2 "Basi wewe utoapo sadaka usipige panda mbele yako kama wanafiki wafanyavyo katika masinagogi na njiani ili watukuzwe na watu."

Unafiki ni kuifahamu ukweli na kutoifwata ile kweli kusema Yesu ndiye Bwana na hufuati. Imeandikwa Mathayo 23:13 "Olewenu waandishi na mafarisayo, wanafiki! kwa kuwa manawafungia watu ufalme wa mbiguni ninyi wenyewe hamingii wala wanao ingia hamwachi waingie."