Utiifu

Utiifu ni chapa ya urafiki kamili. Imeandikwa, Mithali 17:17 "Rafiki hupenda siku zote na ndungu amezaliwa kwa siku ya taabu."

Utiifu wetu kwa Mungu usigawanyike. Imeandikwa, Mathayo 6:24 "Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili, kwa maana atamchukia huyu, na kumpenda huyu ama atamshikamana na huyu na kumdharau huyu hamwezi kumtumikia Mungu na mali."