Home / Masomo ya Biblia / Uzima wa Milele

Uzima wa Milele

Mungu ametuahidi maisha ya milele kwa wale wanao mwamini yesu imeandikwea Yohana 3:16 "Kwa maana jinsi hii mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe pekee ili kila mtu amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele."

Uzima wa milele ni zawadi kwa wale wanao mwamini Yesu. imeandikwa 1Yohana 5:11-12 " Na huu ndiyo ushuhuda ya kwamba mungu alitupa uzima wa milele na uzima huu umo katika mwanawe."