Wema

Kufanyiwa wema usio kustahili waonyesha tabiya ya Mungu. Imeandikwa Luka 6:35 "Basi wapendeni adui zenu tendeni mema na kukopesha msitumaini kupata malipo na dhawabu yenu itakuwa nyingi nanyi mtakuwa wana wa aliye juu kwa kuwa yeye ni mwema kwa wasiomchurkuru, na waovu."

Wema wetu nionyesho letu kwa upendo wa Mungu. Imeandikwa Warumi 12:14 "Wabarikini wanaowaudhi barikini wala msilaani. Furahini pamoja na hao wafurahio lieni pamoja nao waliao."

Wema ni tabia ya wale wanao masha Mungu. Imeandikwa Wakolosai 3:12 "Basi kwa kuwa mmekuwa wateule wa Mungu watakatifu wapendwao jivikeni moyo wa rehema, utuwema, unyenyekevu, upole, uvumilivu."