Home / Masomo ya Biblia / Haki adhilifu

Haki adhilifu

Maisha si sambamba imeandikwa Mhubiri 9:11 "Nikarudi nakuona chini ya jua yakwamaba si wenye mbio washindao katika michizo walasiwao hadari washindao vitani wala siwenye hekima wapatao chakula wala si watu waufahamu wapatao mali wala si wenye ustadi wapatao upendeleo lakini wakati nabahati huwapata wote."

Mungu anataka tuwe wenye haki katika biashara zetu imeandikwa Medhali 16:11 "Mizani ya haki na vitanga vyake ni vya Bwana mawe yote ya mfukoni ni kazi yake."

HaKi ni kazi ya mungu imeandikwa Isaya " Nahaki itakuwa mshipi wa viuno vyake na uwaminifu mshipi a kifungia."

Haki nisharti ya maisha ya mkristo imeandikwa Isaya 33:15 "Ni yeye aendaye kwa haki anenaye maneno ya adili ni yeye anayedharau faida ipatikanayo kwa dhuluma akung'utaye mikono yak e isipokee rushwa azibaye masikio yake asisikie habari za damu afumbaye macho yake asitazame uovu."