Nyimbo

Nyimbo zaweza kutumiwa kwa kumsufu Mungu. Imeandikwa, Kutoka 15:1 "Ndipo Musa na wanawaisraeli wakamwimbia Bwana wimbo huu wakanena na kusema nitamwimbia Bwana kwa maana ametukuka sana farasi na mpanda farasi amewatupa baharini."

Njia bara ya kumsifu Mungu ni kwanjia ya nyimbo. Imeandikwa, Zaburi 33:1-3 na Zaburi 81:1-2 "Mwimbieni Mungu, nguvu zetu, nyimbo za furaha Mshangilieni Mungu wa yakobo pazeni zaburi pigeni matari kinubi chenye sauti nzuri na kinanda."

Nyimbo ya weza kuwa namna moja nzuri ya kukari vivungu vya bibilia. Imeandikwa, Wakolosai 3:16 "Neno la kristo na likae kwawingi ndani yenu katika hekima yote mkifundishana na kuonyana kwa zaburi na nyimbo na tenzi za rohoni huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu."