Home / Masomo ya Biblia / Kuhukumu

Kuhukumu

Tunapo wahukumu watu tuwahukumu kulingana na kanuni ya Mungu. Imeandikwa. Isaya 11:3-5 "Nafuraha yake itakuwa kumcha Bwana wala hata hukumu kwa kuyafuata ayaonayo kwa macho yake wala hataonya kwa kuyafuata ayasikiayo kwa masikio yake bali kwa haki atawahukumu maskini naye atawaonya wanyenyekevu wa duni kwa adili naye ataipinga duni kwa fimbo ya kinywa chake na kwa pumzi ya midomo yake atawauwa wabaya na haki itakuwa mshipi wa viuno vyake na uaminifu mshipi wa kujifungia."

Unapo hukumu wengine utahukumiwa vile vile Imeandikwa, Mathayo 7:1-2 "Msihukumu msije mkahukumiwa ninyi, kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyomtakayo hukumiwa na kipimokile mpimiacho ndicho mtakachopimiwa."

Nivema kuhukumu waakti tunapo hukumu dhambi Imeandikwa. 1Wakorintho 5:12 "Maana ya nihusu nini kuhukumu wale walio nje? ninyi hamwahukumu hao walio ndani?."