Nafasi

Tumepewa nafasi yakueneza injili. imeandikwa, Waefeso 3:7 "Injili hiyo ambayo nalifanywa mhudumu wake, kwa kadiri ya kipawa cha neema ya Mungu niliyopewa kwa kadiri ya utendaji wa uwezo wake."

Katika mateso twaweza kuwa na nafasi ya kueleza injili. Imeandikwa, Wafilipi 1:14 "Nawengi wa hao ndugu walio katika Bwana hali wakapata kudhubitika kwa ajili ya kufungwa kwangu wamezidi sana kudhubutu kunena neno la Mungu pasipo hofu."