Kuridhi kwetu kwa kiroho ni bora kuwapa watu wengine. Imeandikwa, Isaya 38:19 "Aliye hai naam, aliye hai ndiye atakaye kusifu kama mimi leo baba tawajulisha watoto kweli yako."
Wale wanao amini katika Kristo wana uridhi mkuu wa imani. Imeandikwa Webrani 12:1 "Basi na sisi pia kwa kuwa tanazungukwa na wingu kubwa la mashaidi namna hii na tuweke kando kila mzigo mzito na dhambi ile ituzingayo kwa upesi na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano ya liyo wekwa mbele yetu."
Twapaswa kuwaridhia watoto wetu maisha ya umaana. Imeandikwa, Kumukumbu la torati 6:5-7 " Nawewe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa nguvu zako zote, na maneno haya nakuamuru leo yatakuwa katika moyo wako nawe uwafundishe watoto wako kwa bidiii na kuyanena uketipo katika nyumba yako na utembeapo njiani na ualalapo na uondokapo."